Asili ya UKIMWI ni nini?


@ Bold and red,

Dhana ya kutengenezwa HIV ..Hata mimi haingii akili kabisa!

Lakini kuna porofesa mmoja anaamini (Peter D ..Post namba 9) ... kulikuwa na makosa ya Kugundua kinachosababisha AIDS... Kwa makosa hayo ... Ya kitaalam kabisa yaliyofanyika kwenye maabara ... HIV.. Ikabebeshwa mzigo wote wa kuwa Chanzo Cha AIDS ..lakini yeye anafikiri sio hivyo...! Anaamini kuwa lazmima kuwe na Hali nyingine zinazotangulia ili Kufanya HIV kuanza kuwa na madhara(Kama ulivyosema wewe.. ku-mutate) ..ndio maana yeye anapinga ARV peke yake ila anasisitiza KUTIBU hayo mazingira mengine kwanza. Kwa Mtizamo huo yeye anaona kuwa HIV imetengenezwa kwa makosa ya KIMTIZAMO kati ya makundi mawaili ya wataalam ndani ya Maabara!!
 


-Enchanted-
 

AJ;

Hapo unamaana gani haswa?

Ni kwamba kweli HIV .... ni virusi vya kutenegezwa na vinatengenezeka kweli? Maana kwa kweli tiba ndio ingekuwa jambo la msingi zaidi ya yote haya.
 
AJ;

Hapo unamaana gani haswa?

Ni kwamba kweli HIV .... ni virusi vya kutenegezwa na vinatengenezeka kweli? Maana kwa kweli tiba ndio ingekuwa jambo la msingi zaidi ya yote haya.

Solution mkuu;

Tuangalie chimbuko la virusi vyenyekuitwa HIV;
Kulingana na mtizamo wa watafiti mbalimbali ni kuwa kuna virusi visivyo na madhara yeyote mwilini na vinavyojumuika kujenga DNA ya mwanadamu kwa kiasi kati ya 1-4%. Vinaitwa Human Endoginious Retrovirus (HERV). Hivi havina madhara yeyote mwili hadi kunapotokea tatizo lingine na kuvifanya viwe vikali na kuanza kuleta madhara. Wataalamu wengine wanabisha na kusema kuwa hichokinachoitwa HIV ndicho hicho hicho kinachotwa HERV ndio maana wanasema HIV imetengenezwa kwenye maabara tu kwa kutofautiana kimtizamo. Wanakataa kuwa HIV ndio chanzo cha AIDS ila chanzo cha kweli ni kile kinacho pelekea HERV kuwa wakali na kubatizwa HIV... wanaona kuwa HERV na HIV vimebebswha mzigo usio wake kama vyanzo vya AIDS ...na kujaribu kutibu AIDS kwa kutibu HIV wanoana ni wendawazimu!!
 
"Diabetes" and "AIDS" are nothing but LABELS created by doctors, to put a name on a collection of symptoms they cannot explain with their pseudo-science. The truth will shine through, in the end."
Quote from Mark Anastasi
 
“Diabetes” and “AIDS” are nothing but LABELS created by doctors, to put a name on a collection of symptoms they cannot explain with their pseudo-science. The truth will shine through, in the end.”
Quote from Mark Anastasi

Mkuu HINI,

Msemo wa Mark Anastasi .... umeniacha hoi ... Ni ukweli gani anategemea ujitokeze mwishoni ..naye haamini kuwa virusi vinaleta AIDS?

Kama si kosei ID yako ni Kirusi cha mafua ... Huogopi virusi ... au its just Lables?
 
Mkitaka kujua chanzo cha HIV someni kitabu kinachoitwa " Full Disclosure"
 
Mkitaka kujua chanzo cha HIV someni kitabu kinachoitwa " Full Disclosure"

Mkuu donoa hata... Muhutasari kidogo ....Tu!!

Virusi ndio Chanzo kukuu cha AIDS au kuna chanzo kingine kisichohitaji dawa kali kama wanazomezeshwa wanadamu?
 
Mkuu donoa hata... Muhutasari kidogo ....Tu!!

Virusi ndio Chanzo kukuu cha AIDS au kuna chanzo kingine kisichohitaji dawa kali kama wanazomezeshwa wanadamu?

Nimupata huu hapa!!!



Full Disclosure, the Truth about the AIDS Epidemic, Book by Dr Gary Glum
 
Mkuu HINI,

Msemo wa Mark Anastasi .... umeniacha hoi ... Ni ukweli gani anategemea ujitokeze mwishoni ..naye haamini kuwa virusi vinaleta AIDS?

Kama si kosei ID yako ni Kirusi cha mafua ... Huogopi virusi ... au its just Lables?

Kuna msigano mkubwa sana katika ulimwengu wa watafiti wa HIV,baadhi wametilia shaka tafiti zilizotangulia na kuhitimisha kuwepo kwa HIV kama ndicho chanzo cha AIDS,sababu kubwa wanayoitoa na ambayo wanaamini kuwa ndiyo sababu inayosababisha kukosekana kwa chanjo ya kinachoitwa HIV ni kwamba wagunduzi wa HIV walifikia hitimisho pasi na kufuata utaratibu wa utafiti wa vimelea kisayansi,wanasema walihitimisha huku wakiwa wameshindwa kufanya isolation ya huyo HIV ili kuweza kumtambua,Hii imefanya tafiti kuhusu chanjo na tiba kuwa ngumu,kwani adui bado hajulikani lakini watu wako bize kutafuta silaha za kumwangamiza au kumzuia,ukweli unaotarajiwa ni utafiti wenye hitimisho la kweli kuhusu nini kitu AIDS,Lakini kumbuka AIDS sasa hivi ni bonge la deal kwa wagonjwa,madaktari,NGO,Mafisadi,hata wewe ! hivyo juhudi zozote za kutafuta ukweli zitapigwa vita kwa matokeo yake yanaweza kuondo ULAJI kwa watu...Mie siogopi kirusi hicho kwani hakiniathiri m/s solution
 
Nilipata kusoma kuhusu HIV katika gazeti la Daily news miaka ya mwanzoni ya 1990 kuwa, HIV ni virusi vya kutengeneza laboratory huko USA, lengo ni kuwaondoa mashoga jeshini na ndio waliosambaza kwa wengine pia.

Africa hasa Uganda HIV ililetwa wakati wa chanjo ya ndui na ndio hapa wazungu wakapandikiza hivi virus.
Na ndio maana sipendi hizi chanjo, kwa mfano Vitamin A kwa watoto, polio pia na matone.

Chuo sikuchomwa kinga ya ugonjwa wa uti wa mgongo miaka ya 1997

Miaka ya 80 nilitoka nduki walipokuja kuchanja ndui shuleni, lakini tulikimbia kuogopa mumiani.
 
Miaka ya Nyuma niliwahi kupata maelezo kutoka kwa Daktari mmoja ambaye alifanyaga kazi kitengo cha utafiti wa magonjwa Havard, na maelezo yake yalikuwa ni marefu na yapo mengine sikuyaamini

kwa Mujibu wa huyo doctor, Hao virus walitengenezwa Maabara na walitakiwa kutumiwa kama silaha hapo baadae kwa njia ya kuwainject watu kama Vaccination, walichofanya walikwenda kuwafata watu Gerezani wale wenye vifungo vya maisha na kuwapa option ya kutoka nje wakikubali kuwaenjected na hao Virus, waliokubali na kutoka gerazani waliingia mitaani na kuanza kuwa monitored kuangalia jinsi watakavyozurika (By that time hawakujua kuwa kwa kujamiiana unaweza kuambukizwa huo ugonjwa)

hao walitoka Gerezani walikuwa na Mambo Ya kishoga (kutokana na Walivyofanywa Gerezani) na waliporudi mtaani walikuwa wanajishirikisha sana na hayo mambo ya kishoga, Jamaa walifatiliwa na mpaka wakafa, lakini likaanza kutokea wimbi kubwa la mashoga waliokuwa wanakufa kwa dalili zilezile kama za wale samples na baada ya kuwafanyia uchunguzi wakagundua kuwa na wao wameambukizwa kwa kujamiiana

Huu ugonjwa ni miongoni mwamatumizi mabaya ya sayansi na technologia ambayo yameshawahi kutokea duniani na huku Afrika uliletwa kwa makusudi kabisa
 

Mkubwa H1N1

Nimekusoma loud and clear @ Red .... Kama unaniona vile ... Hata mimi nikisema sijafidika na hivi vijisenti vya HIV/AIDS ...nitakuwa najidanganya na kuidanganya famila na taifa langu ..nimefaidika kama Mamilioni ya viwanda vya madawa, watafiti mbalimbali, wanasiasa .... ni kamchezo ..mara leo hivi ..kesho vile ...kilasiku unapanda ndege kukimbizana kwenye mikutano...kufanya vi presentation... kujichanganya changaya ili kurefusha mada ..na miradi...ili kuogeza kipato, Ni kaufisadi ka aina yake nikiamua kuwa mkweli kabisa ... hata jibu la msingi likitoka ..nafikiri kwakuwa wanachi wengi ni wavivu wa kufuatilia mambo ...ni kwa wachanganya changya na kuwaogopesha ..ili mradi tumalizie vijumba vyetu hapo mbezi ...na kuwasomesha watoto ....Kusema kweli ...Dunia imekaa kinjinga sana...Kila mtafiti na mabaraza yao wakija na kaugunduzi kakitangazwa redioni au kwneye taarifa ya habari woooote wana amini na kuchukulia kuwa hakuna namana nyingine....ukimiomba shehe na padri akusaidie kuupeleka ujumbu ndio kabisa ..hakuna hata mmtu atautafakari na kuhoji ujumbe ..watu ni misukule ya kuamini kila upupu uanotoka kwenye nyanja zinaozoitwa za kisomi.... Na hapo tutajipatia vijisenti ..kama vile vya kagoda, meremeta na vi dili vingine vya kawaida ..kwani uwongo ...si mnakubali kuburuzwa wenywewe kama mazuzu....

Nisema jambo la msingi

Wanachi waamke na wajihoji na kujiuliza mara kadhaa mambo kama haya. Uvivu wa kufikiri na kutafakari utatufikisha baya....Nitarejea!!!
 

Mkuu VoR inamaana wakongomani wameanza kuwala hao nyani 80's? Kama sivyo kwanini iwe miaka hiyo na si kipindi kingine chochote katika uhai wa binadamu?
Je, wangapi wameathiriwa na ulaji na/au mwingiliano huo tangu wakati huo mpaka sasa?
Kwangu mimi hii nadharia ni NO.
 
Ni kweli mkuu wameanza zamani sana lakini sababu SIV (ambayo huwa ipo kwenye nyani inafanana sana na HIV basi uwezekano mkubwa ni kwamba ilibadilika kutokana na mazingira kutoka SIV hadi HIV..

Ni kweli hizi zote ni theory na hazina uhakika lakini hii theory nadhani ni more plausible kuliko zile nyingine...
 

VoR , ulishasikia habari ya Human Endoginius Retro Virus (HERV) ... its a normal flora ..and forms about 3-4% of human DNA..!!
 
VoR , ulishasikia habari ya Human Endoginius Retro Virus (HERV) ... its a normal flora ..and forms about 3-4% of human DNA..!!

Not very familiar zaidi ya definition niliyoiona ya kwamba haya ni mabaki ya viral infections za zamani ambazo baada ya muda zinakuwa passed through generations hence kuwa parts za genes, that means they can be inherited

Nina uhakika hapa kuna connection ambayo unaweza ukanipa kuhusu hii AIDS na HERVs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…