Asili ya wimbo kasongoo eeh! Mobali na ngai

Asili ya wimbo kasongoo eeh! Mobali na ngai

images (14).jpeg

Huyu jamaa atawafunga
images (13).jpeg
 
Hivi majuzi niko kwenye darasa moja la watoto wadogo wa day care nilishangaa kuona vitoto vidogo vinaimba wimbo huu, leo tena nilikuwa kwenye kituo kingine kama hicho nikasikia vitoto vikiimba wimbo nikashangaa tena inakuaje watoto wa leoleo wanaimba wimbo huo vema tu lakini mimi mtu mzima baba/babu yao siwezi kuimba wimbo licha kuusikiliza kwa muda mrefu? Hawa watoto ni wadogo ila kuna mambo wanayafuatilia sana
 
Back
Top Bottom