Wenye hela hawana malenge, wenye malengo hatuna hela..
Yaaani nichukue 45M niziweke fixed??
Hivi BOT wanauza Hisa au Bonds(Hati fungani)?Nunua hisa za BOT
OVER
ZipoHakuna bank yenye rate 13%, uliza tena vizuri
Mkuu wabongo wengi wanahitaji shule ya Financial LiteracyHakuna bank yenye rate 13%, uliza tena vizuri
Bank ipi? Na hiyo 13% ni APY? Kama ndio basi ni upuuziZipo
Kama umeajiriwa na bado kijana pia bado hujajua ufanye nini nje ya kazi yako basi nenda UTT fungua akaunti anza kuwekaSo tuendelee kushauliana
Kwa Bongo kwa sasa UTT ndio best choice hayo mabond sijui na fixed ni upuuzi tu labda kama una hela nyingi ambazo huna shida ya pesa za ziadaUTT Liquid fund iko poa, mwaka jana annual interest ilikuwa kama 14pc. Fixed deposit ya bank kwa 13pc hiyo ni nzuri sana kama ukiipata, vinginevyo kanunue bond za serikali, tatizo lake muda unavyokuwa mfupi, faida inazidi kushuka.
Kwa mwaka huu rate zikoje??UTT Liquid fund iko poa, mwaka jana annual interest ilikuwa kama 14pc. Fixed deposit ya bank kwa 13pc hiyo ni nzuri sana kama ukiipata, vinginevyo kanunue bond za serikali, tatizo lake muda unavyokuwa mfupi, faida inazidi kushuka.