Asilimia 48.3 ya wanaume tanzania wamebambikiwa watoto na wake zao

Kazi ipo. Mie wa kwangu ni photocopy tupu. sio wa kike wala wa kiume tunafanana balaaa

Labda wewe unafanana na mkeo, sasa watoto wakifanana na mama yao unajifariji kuwa wamefanana na wewe. Nenda ukapime fasta
 
Wapenda kuhukumu weye!wewe u msafi au?
 
Wengi wao inakuwa wanaume hawana uwezo nao ndio hufikia kwenda nje. Wanaume haswaa, wapo wachache sana duniani.

Mwanamme haswa ni nani. Naomba mfano wa mwanamme haswa ili nami nijitafakari niko wapi kati ya hao wanaume.
 
Wapenda kuhukumu weye!wewe u msafi au?

Yupo nn,uliyewahi kumchakachua mzee?sasa si bora ungemwambia tu mapema kuwa huyu sio wako,angelia angenyamaza machungu ilibidi yameshaisha!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yupo nn,uliyewahi kumchakachua mzee?sasa si bora ungemwambia tu mapema kuwa huyu sio wako,angelia angenyamaza machungu ilibidi yameshaisha!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umeelewa swali langu?
 
mmmmh, fix tu hizi
unataka kusema walipima upande mmoja na ukawa na
imani 100%, haiwezekani bhana.

Hapa sina tena na wasiwasi kwani nilishapima DNA watoto wangu wote watatu bila ya mke wangu kujuwa. Kwa sasa naishi kwa amani na furaha tele moyoni.
 
Hata ukijua haiwezi kukusaidia kitu,
sie tunasema na takwimu siyo mutu mumoja mumoja;
kama unataka kapima wako uweke bandiko hapa.
Sina shaka nawe, demu mzinzi anajulikana tu kwa kujuwa takwimu/hali halisi. Mumeo umemsingizia watoto wangapi hivi?
 
Kupima vinasaba vya nn kama umeambiwa wako shukuru endelea kulea na mtt atajua ww n baba yake maisha yake yote basi,ukiangaika saAana n kufanya maisha yawe tu magumu!
Mm nashukuru kwetu tunaangalia kidole cha mwisho lazima kipinde kidogo na kweli sote home tuko hivyo mpaka my daughter yuko the same!hv hii nayo inakuaje!?kama vipi tuendeleze natural ways bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…