Asilimia 48.3 ya wanaume tanzania wamebambikiwa watoto na wake zao

Ukikuta mtoto kapatikana kwenye ndoa amini tu ni wako,
ole wako ulete mbwembwe za kwenda mbele zaidi
ujue lazima utakutana na majanga.
Mamdenyi mwe mwe mwe mwe,mbona mnatutisha sana jameni???????
 
Hata ukijua haiwezi kukusaidia kitu,
sie tunasema na takwimu siyo mutu mumoja mumoja;
kama unataka kapima wako uweke bandiko hapa.


Dah, mamie unatisha. Thanks to God I'm NOT married to you, maana dah.....kulea watoto wasio wangu halafu kila kukicha unaniita darling kumbe unanisanifu tu? Kweli bongo ni tambarare.
 
Mkereketwa_Huyu swali lako ni zuri ila limekaa kimajungu zaidi
lingekaa fresh ningekupa kila kitu hapa ubaoni.


Samahani kama limekaa kimajungu kwako, ila nimekuuliza tu kutokana na majibu uliyotoa na sikuwa na lingine zaidi ya hapo (majungu). Samahani kama umenihisi vibaya.
 
:wave::wave::wave:...I really thank God kwa jinsi mwanangu afananavyo nami labda kama shemeji yako alizaa na kaka yangu!!!:tongue:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…