W Wild Flower JF-Expert Member Joined Jul 20, 2023 Posts 977 Reaction score 1,966 Mar 26, 2026 #1 Forex ni biashara kama biashara nyingine, utofauti ni kwamba kwenye Forex bidhaa yako ni pesa! Unataka kujua ni kwanini baadhi ya wanaofanikiwa kwenye Forex huwa na tabia ya ku-brag!? Ila huyu jamaa anataka kugombana na wazee wa Forex. Your browser is not able to display this video. Pia Soma: Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa
Forex ni biashara kama biashara nyingine, utofauti ni kwamba kwenye Forex bidhaa yako ni pesa! Unataka kujua ni kwanini baadhi ya wanaofanikiwa kwenye Forex huwa na tabia ya ku-brag!? Ila huyu jamaa anataka kugombana na wazee wa Forex. Your browser is not able to display this video. Pia Soma: Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa
BLACK_ JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 1,885 Reaction score 4,193 Mar 26, 2026 #2 Mi kudownload ela nahisi ndio nilishindwa aiseh. Imagine unaiona ela yako imekaa kama vimistari vya graph 📊
Mi kudownload ela nahisi ndio nilishindwa aiseh. Imagine unaiona ela yako imekaa kama vimistari vya graph 📊
Lamborgini JF-Expert Member Joined Nov 28, 2024 Posts 954 Reaction score 1,617 Mar 26, 2026 #3 Trading is not for the weak.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Mar 26, 2026 #4 Kuckia kwa kenge ni mpk Damu zitoke puani. KAZI ni kipimo cha utu