Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Utafiti pia unaonyesha asilimia 78 ya wakenya wanaona habari za corona zinawatisha na kuwachanganya. Wacha sasa waendelee kujifanya wajanja na vijitakwimu vyao vya kila siku, tuone mwisho wake.