Asilimia 80 ya ndoa zetu tunaoa Mama wakwe zetu

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Hili nmekuwa nikilifanyia utafiti kwa miaka isiyopungua 18 sasa. Show me your mother and i will tell you what kind of wife you are.

Asilimiw 80 ya wake tunao oa ni mwakisi wa mama zao.kama mama ya mke wako ni mtu mwema basi kuna uwezekano mkubwa mkeo pia akawa mtu mwema.
Chunguza sana mama mkwe wako ana tabia gani nyumbani na pengine kwa mumewe.

Kama baba mkwe wako ana mchepuko/si michepuko. Anza kujiuliza kwa nini baba mkweo ana mchepuko wa kudumu?acha tabia za wanaume mabaladhuri wenye wana wake wengi.jiulize why baba mkwe wako ana mchepuko mmoja kwa muda mrefu?
1. Mama mkwe mjeuri/mkaidi/kiburi
2. Mama mkwe hana adabu
3. Mama mkwe mkali kwa mumewe
4. Mama mkwe hapendi wageni/mchoyo
5. Mama mkwe hajatulia katika ndoa

Hali kadhalika kama utamkuta mama mkwe ana sifa njema kuna uwezekano mkubwa mkeo akawa na sifa njema pia.

1. Mama mkwe mwenye nidhamu
2. Mama mkwe mwenye adabu
3. Mama mkwe mwenye mpole kwa mumewe
4.Mama mkwe mkarimu/huruma kwa wengine
5. Mama mkwe mwenye utulivu na kuheshimu ndoa.

Mimi binafsi kipindi cha ujana wangu nmejifunza mengi sana kwa mama wakwe.nmeshawahi kuwa na mahusiano na bint na mama yake pia.mama hakuwa na nidhamu obvious hata mtoto wake itakuwa hakuwa na nidhamu

Nmekutana na kesi nying za mama wake single parents na watoto wao wakike kuwa hivyo hivyo. Maji hufuata mkondo.si wakati wote lakini.

Nliwahi kuwa na binti mmoja mjeuri sana mpaka nikahisi yule binti angekuwa mchawi.mzuri lakini mjeuri,mkaidi.nikaanza kuwa karibu na mamaye.nikagundua mama yake alisababisha baba ya bint awe na mchepuko,akaujengea na nyumba sababu ya maudhi ya yule mama.

Lakini pia nmewahi kukutana na mama mkwe mkarimu,mnyenyekevu na nikakuta mtoto wake naye anasifa hizo hizo.mara nyingi watoto hujifunza toka kwa mama asilimia 60-80 na kwa baba asilimia 20-40. Inategemeana sasa na uelewa wa mtoto akichanganya na kile alichojifunza.

Mama ana nafas kubwa sana ya kumfundisha mtoto kuliko baba. Na role model wa kwanza wa mtoto ni mama yake,halafu baba na watu wengine.

Pia nawashuri dada zangu angalieni mama wakwe zenu halafu na waume watarajiwa wenu. Pia si mbaya kuwaangalia baba wakwe zenu kujua utakuwa na mume wa namna gani.si lazima kwa asilimia 100 awe vile.ila kuna mchango mkubwa sana.
 
Upo sahihi mkuu
 
Alichokisema ni kweli kabisa. Ukitaka kumjua mchumba wako angalia tabia za wazazi wake. Itakupa picha halis yukoje.. hata kama kazficha ni suala la muda tu atajidhihirisha
Mkuu ulikuwa kama ulihudhuria mafundisho haya jana mahali, hongera sana. Huu ni ukweli mtupu hata maandiko yanasema
Ezekiel 16:44 na Maombolezo 5:7
 
Naunga mkono hoja. Nawaasa vijana wenzamgu wachunguze familia ambazo wachumba zao wanatoka. Itakupa picha halisi ya personality ya mchumba wako ikoje
 
Huwa nadhan we ni mtu unayejiheshimu kumbe nakosea sana. Maana kauli hii inaonesha either unavuta bhangi tena chooni au ndo hivyo tena...sijui wapi nmewahi kwambia nafanya jambo hilo.shule zitusaidie kupata uelewa hata kidgo.

Ulishatubu dhambi ya kumla tigo mke wako wa ndoa kiongozi?
 
Nlivyoona heading nkajua eti mnakula kuku na mayai
 
sijui unawafahamu kwa njia gani labda kama una namna ya kimazingara ya kuwafahamu otherwise ungetulia kwanza unywe maji au juice ndo u comment kwa utulivu.

Huko ukweni wangejua tu kuwa miezi sitavta ndoa bado lakini hii familia yako ya JF tunawafahamu kwa 80%
 
GuDume naona kiasi umeanza kupata mda wa kuandika hapa, na umeanza ma hizi ili kuvuta attention halafu urudi kule kwa zamani. Ila karibu sana.
Samahani ni kama sijaelewa. Ni kama ulikuwa unakula mama na mtoto katika utafiti wako au ni mahusiano ya kawaida? Yaani mama ni dada na mtoto ni anko.. ova!
 
Mzee hicho unalichokiongea na kukifanyia tafiti kina ukweli wa %100, hata baadhi ya vijana tunajikuta tunakosea kuoa kwa kutokutambua ama kufuata jambo hilo, and that's why ukifuatilia ndoa nyingi zinazofungwa kwa mihemko ya mapenzi bila kufanya na kufuata uchunguzi huo hazidumu.
 
Asante mkuu ngoja nifanye utafiti wa kina kabla sija ingia huko mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…