Asilimia 80 ya ndoa zetu tunaoa Mama wakwe zetu

Chai
 
Hili somo alinipa ndugu yangu mmoja, ukitaka kuoa mahali chunguza namna mama wa binti anavyoishi na mama, kama familia ina mpasuko sababu ya kutokuwa na maelewani btn wazazi, au mama ndie mwenye nguvu (kiuchumi, ndie mwenye kauli) na baba ni mdogo basi binti nae atataka uwe kama baba, atataka kukupanda kichwani

Tabia ya binti ni blueprint za mama mzazi, (si wote) but most of them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…