SI KWELI Asilimia 80 ya Watanzania wanaishi na virusi vya UKIMWI

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hakuna ukweli na mods wangeondoa tu kwani hakuna sehemu inaweza kuwa na 80% ni uongo huu
Kila nilipoperuzi hakuna hii habari
Jamii Check ✔️ ✅ Mpooo
 
Huenda kweli ....maana watu full kufukuana☹️...Ila twende mbele turudi nyuma Ukimwi tuukatae.Mi binafsi siutaki kabisa hata Kama nafanya mapenzi
 
Hakuna ukweli na mods wangeondoa tu kwani hakuna sehemu inaweza kuwa na 80% ni uongo huu
Kila nilipoperuzi hakuna hii habari
Jamii Check ✔️ ✅ Mpooo
Hio ni Journal wasomi wamechapisha, wewe unataka ucheki wapi?.
 
Means hizo data ni kwa Walioenda hospital kupimwa na kugundulika, vipi hawa ambao wanao na hawajaenda hospital kuwa kwenye database?
Hali ni mbayaa, ila hii 80% uongoo, khaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwe wakweli, ukimwi tz ni uko kiwango cha hatari
 
Duuh hiyo 80% ya population ni kama 40 milion people with HIV.
 
Kuna ukweli fulani Kwenye hii habari. Tanzania ya Sasa tabia zimebadilika.

Wangapi mmeona matumizi ya kondomu kwenye ile video ya walawiti wa afande? Kama yule binti alikuwa muathirika wa HIV sasa unga mnyororo wa maambukizi uone kama sio asilimia 90 kabisa ya watanzania wanachukukulia poa HIV huku wakitambarizwa na AIDS kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…