Mratibu wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (Ulingo), Dk Ave Maria Semakafu amesema harakati za wanawake nchini za kutaka haki zao zitambuliwe kwenye Katiba zitafanikiwa iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa.
Akizungumza jana kwenye Mkutano wa Mtandao wa Wanawake na Katiba na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa), Dk Semakafu alisema wanawake wana kila sababu ya kutembea vifua mbele kwa kuwa zaidi ya asimilia 90 ya mapendekezo yao yameingizwa kwenye Katiba inayopendekezwa.
katika Uwanja wa Aman Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais Balozi Seif Idd amezindua kampeni rasmi ya wanamuziki wa kizazi kipya watakaozunguka Tanzania nzima kuhabarisha na kuhamasisha upigaji wa Kura ya "NDIYO" kwa rasimu ya katiba iliyopendekezwa,akiongea na hadhara ya watu ktk uwanja wa Amani,Seif amewaambia Wazanzibar waipigie katiba inayopendekezwa Kura ya "NDIYO " kwani ina mambo mengi inayowafaa na kuwaletea maendeleo wao na vizazi vyao.
source: Mwananchi newspaper:dance: