Asilimia 90 ya wahitimu vyuoni hawajawahi kusoma kitabu chochote cha elimu binafsi, ni professionals tu katika fani walizosomea ila hawajaelimika

Ahsante Kwa bandiko lako
 
Mleta mada ongera sana kuna watu fulani hivi umewapiga spana za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…