Asilimia 90% ya waTZ hula kiporo siku ya leo 'boxing day'

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
249
Reaction score
339
*Kwahesabu za harakaharaka asilimia 90 ya watanzania leo watakula kiporo*
 
Kweli ila tz wakristo walioadhimisha Noel hawafiki 90%
 
Kumwaga chakula kilichabaki ni dhambi... mara nyingi sikukuu za kiimani kama xmas msosi unabaki ambao siku kama ya leo kinapashwa tu...
 
mbona viporo vya kwenye masupa maketi hamsemi mavitu yamekaa miezi kwenye makopo na mnakula bila kuuliza yamepikwa lini
 
*Kwahesabu za harakaharaka asilimia 90 ya watanzania leo watakula kiporo*
Sio watanzania tu. ...marekani na wengine wanao roast turkey ..ndiyo usiseme maana ni week nzima. ....itakuwa turkey sandwich. .turkey soup nk
 
Tis season to be jolly. ..
 
Maisha magumu sana watu wanapika kiasi watakacho maliza tu,akuna ziada ata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…