Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mchicha ndio mboga inayopatikana kwa urahisi Dar. Nyama ya ng'ombe na Samaki ni anasa Dar es salaam.
Mchicha huu unaolika kwa asilimia 100 kila siku unamwagiliwa kwa maji ya mavi kwenye mabonde yote ya Dar es salaam
Upatikanaji wa maji ni shida. Watu wa Dar wengi kama asilimia kubwa hawanawi mikono wakitoka kujisaidia. Hii ni kwa sababu maji ni ya shida na hayapatikani.
Mimkoani mbogamboga watu wanajilimia majumbani kwa 80% na wanatumia maji salama.
Pia maji yanapatikana kwa urahisi japokuwa sio kwa uhakika. Ila sio kama Dar es salaam.
Kila mtu atakubaliana na mimi.