Asilimia 96 ya wakazi wa Dar wanakula kinyesi kwenye mboga za majani kila siku. Mikoani hali ni nafuu kidogo inaweza kuwa asilimia 40

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mchicha ndio mboga inayopatikana kwa urahisi Dar. Nyama ya ng'ombe na Samaki ni anasa Dar es salaam.

Mchicha huu unaolika kwa asilimia 100 kila siku unamwagiliwa kwa maji ya mavi kwenye mabonde yote ya Dar es salaam

Upatikanaji wa maji ni shida. Watu wa Dar wengi kama asilimia kubwa hawanawi mikono wakitoka kujisaidia. Hii ni kwa sababu maji ni ya shida na hayapatikani.

Mimkoani mbogamboga watu wanajilimia majumbani kwa 80% na wanatumia maji salama.

Pia maji yanapatikana kwa urahisi japokuwa sio kwa uhakika. Ila sio kama Dar es salaam.

Kila mtu atakubaliana na mimi.
 
Maji ya Mavi ukiapika vizuri bacteria zote zina kufa, hamna kitu kama hicho cha kula mavi mkuu.
 
Acha tule Mavi Tu mkuu.

Shida ipo wapi kwani?
 
hapo ukute wewe siyo mkazi wa Dar, umeenda kutembea siku moja kwa ndugu yako ukakutana na shida hiyo, ukaja na conclusion 😁😁😁
 
Shida ulipo kuja dar ulifikia wap na Kwa Nan, vipi kuhusu kipato chake.

Ukimaliza kujibu mlaum huyo ndugu yko Kwa kukulisha mboga zenye mavi
 
Hiyo Dar ya mtoa madamπŸ˜‚πŸ‘‰ Kila mtu na Dar es Salaam yake Kwa kweli
 
hapo ukute wewe siyo mkazi wa Dar, umeenda kutembea siku moja kwa ndugu yako ukakutana na shida hiyo, ukaja na conclusion 😁😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…