Asilimia 99% ya watanzania wamekubali kutiki

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
518
Reaction score
709
Habari Wana JF
Katika tafiti nilizozifanya nimegundua 99% ya watanzania oktoba watatiki na 1% iliyobaki niwatoto ambao bado hawajafikisha umri wakupiga kure

Takwimu hizi zinadhihirisha yakua watanzania wengi wanapenda Samia kutokana na mengi aliyo yafanya nawamekubali kumuunga mkono
Naomba kuwasilisha
 
Naona kile kikosi cha mashambulizi mitandaoni cha masaki kimehamia humu Jf.
 
NRNE
 
Wewe unaumwa
 
๐Ÿ‘† ๐Ÿ‘‰ ๐Ÿšฎ ๐Ÿ’ฏ%
 
Hukuamini tafiti zilizokwishafanywa kupitia chaguzi za TLS na Chadema hadi ufanye mpya?
 
Sisi huku kijijni kwetu wengi wamesema watatiki
 
Wajinga ndiyo watatiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ