Asilimia kubwa ya majanga maofisini wanasababishwa na madereva wa maboss na ma secretary

Asilimia kubwa ya majanga maofisini wanasababishwa na madereva wa maboss na ma secretary

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Unaweza kuona kama nafasi hizo ni nafasi ndogo na hazina nafasi katika maamuzi ya mambo mengi ila amini usiamini makazini kwingi sekta za Umma na Sekta binafsi fitina na majungu chanzo chake ni uvujishaji wa siri pindi usengenyaji unapofanywa aidha na maboss kwenye gari.

Mada nyingi wao ndiyo huwa rahisi kuharibu mambo na kukusababishia majanga kwa mfano unakuta dereva wa boss na yeye anajikuta boss fulani yaani nitolee mfano japo sio dhahiri tuseme Dereva wa CDF Wa jeshi anajiona ni mkubwa kuliko hata luteni anaweza kumpelekea umbea kiongozi mwingine Jeshini huku akijisifu yeye anayajua mengi kumbe tu kisa anasikia anayoongea bosss kwa simu wakiwa kwenye gari.
 
Back
Top Bottom