Asilimia kubwa ya maudhui ya vipindi vya redio nchini ni burudani na matangazo ya biashara

Asilimia kubwa ya maudhui ya vipindi vya redio nchini ni burudani na matangazo ya biashara

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi great Thinkers.

Kwa utafiti wangu mdogo FM Radios za Tanzania zimejikita katika blabla kama ifuatavyo;

1. 40% ni matangazo ya biashara
2.30% ni habari za michezo
3. 20% ni Burudani.
4. 10% habari na elimu mbalimbali

Ndiyo maana kuwa Radio presenter Tanzania ni kazi rahisi kuliko kazi zote.

Usitegemee Taifa kuwa na watu wanaojielewa. Kutwa watu wanajadili Simba na Yanga.
 
Radioni siku hizi ukiwa muongeaji sana (Pumba) basi unaonekana bonge la presenter.
 
wanatangaza kwa ajili ya wasikilizaji wao soko linataka hicho ndio maana wana matangazo mengi.
Lakini kumbuka radio zote za binafsi lengo lao ni matangazo ukitaka elimu na habari sikiliza TBC Ndio inajiendesha kwa kodi za wananchi

ila hizi nyingine ni biashara kama ilivyo biashara nyingine na nilazima wafanye au watengeneze content zinazouzika sokoni
 
Watangazaji wanaongea wrnyewe kama wako bar huku wakibishana.
 
Back
Top Bottom