Hi great Thinkers.
Kwa utafiti wangu mdogo FM Radios za Tanzania zimejikita katika blabla kama ifuatavyo;
1. 40% ni matangazo ya biashara
2.30% ni habari za michezo
3. 20% ni Burudani.
4. 10% habari na elimu mbalimbali
Ndiyo maana kuwa Radio presenter Tanzania ni kazi rahisi kuliko kazi zote.
Usitegemee Taifa kuwa na watu wanaojielewa. Kutwa watu wanajadili Simba na Yanga.