The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,336
- 3,236
Zako sio stress ukicha unaazaga hivo taratibuAsilimia kubwa ya vijana tuna stress, hasa wale tulioenda shule na kuwa na matarajio ya kua billionaire baada ya ku graduate, lakini mambo yakawa magumu, mishahara midogo, nafasi za ajira finyu, nk.
Binafsi mm kuna siku niliwahi kulala chini ya uvungu ili nipate hasira ya kuzitafuta pesa na kupunguza stress,
Usiku wa kuamkia leo nimeamka sa nane nikaanza kufua ngua, majirani wameamka sa kumi na moja wakakuta kamba zote zimejaa, wakadhani najituma kumbe ni njia ya kumaliza stress. Rest in paradise mzee Mengi, Ruge mliona fursa mkawaonyesha vijana, sikuhizi ni full kubaniana mtu akihofia utampita. One day i will be a billionaire in the name of Jesus let me work till i achive my dream. Amani ya bwana iwe pamoja naji nawatakieni majukumu mema.
Mkuu pesa ipo shamba sema uwe na moyo tuAsilimia kubwa ya vijana tuna stress, hasa wale tulioenda shule na kuwa na matarajio ya kua billionaire baada ya ku graduate, lakini mambo yakawa magumu, mishahara midogo, nafasi za ajira finyu, nk.
Binafsi mm kuna siku niliwahi kulala chini ya uvungu ili nipate hasira ya kuzitafuta pesa na kupunguza stress,
Usiku wa kuamkia leo nimeamka sa nane nikaanza kufua ngua, majirani wameamka sa kumi na moja wakakuta kamba zote zimejaa, wakadhani najituma kumbe ni njia ya kumaliza stress. Rest in paradise mzee Mengi, Ruge mliona fursa mkawaonyesha vijana, sikuhizi ni full kubaniana mtu akihofia utampita. One day i will be a billionaire in the name of Jesus let me work till i achive my dream. Amani ya bwana iwe pamoja naji nawatakieni majukumu mema.
gonga meza,Stress unazo ww tuu, hasa nyie vijana wa mijini msiojua fursa za nje ya box.
Karibu huku kijijini kwetu tuje tulime. Ukipata gunia zako 50 za alizeti, 70 za mahindi na 30 za ulezi hutokaa uwe na stress.
nafikiria nianzishe biashara ya chipsi usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho amka usiku ukalime kabisa