ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna Mambo mawili unayotakiwa kuyajua rushwa, ma drugs na mabiashara yote haramu yanaendeshwa na watu kuuza mpaka viungo na mauaji yote anayofanya ni mwanadamu. Lengo kubwa ni watu Wapate karatasi inayoitwa hela hivyo unajikuta umetumbukia pabaya. Tunalishwa sumu, makapi, vitu vilivyo expire, madawa mengi n.k
Lazima ufungue jicho lako la tatu watu tumekuwa watumwa wa watu wengine ndo maana mnyama mwenye ile alama ni pesa kapewa mamlaka na binadamu atende ya ajabu eti mpaka kushusha Moto kutoka juu. Chokochoko zimeanza tayari pesa ijionyeshe nguvu zake tutapigwa jamani tutubuni mambo yetu.
Tumrudie mola umaskini kwako iwe ni kama pambo usipende pesa sana ndugu yangu sio nzuri utashindwa kuwa mwema lazima tu utaiba na kusema uongo na Kisha na Kisha. Unapokonywa haki yako tazama waliokufa Wengi hawana haki.
Nawasihi tushirikiane kumsikia Mungu anasemaje tutakuja kuuliwa na mataifa sio wazuri angalieni kwanza vitu walivyotujazia kichwani kutokea mitandaoni.