Asilimia kubwa ya watu wanaishi katika familia ambazo sio zao

Asilimia kubwa ya watu wanaishi katika familia ambazo sio zao

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Kwa mfumo wa Maisha ulivyo, Asilimia kubwa ya watu wanaishi ktk Familia ambazo sio zao kama ulivyo msemo wa mtaani " Kwenye familia zenu Kuna watoto watu"

Kiujumla Familia za siku hizi Zina mambo Mengi ya Ajabu, kimya kimya.

Wototo Wengi baba zao, ni utata.
 
"The End Justifies the Means" nawapongeza sana wanawake, wana akili sana!
 
Kwa mfumo wa Maisha ulivyo, Asilimia kubwa ya watu wanaishi ktk Familia ambazo sio zao kama ulivyo msemo wa mtaani " Kwenye familia zenu Kuna watoto watu"
Kiujumla Familia za siku hizi Zina mambo Mengi ya Ajabu, kimya kimya.
Wototo Wengi baba zao, ni utata.
Famikia zao, si zao, wewe inakuhusu nini?
 
Ndugu Zangu Zaeni, Elimu Ni Bure
By Jiwe
 
Cha msingi mnaishi Kwa furaha, amani na upendo mengine ni ubatili tu
 
Kuna binamu yangu alidhani watoto wote tisa ni wake kaja kugundua wanne Mke wake kamletea kama zawadi ndani ya ndoa .

Kwa hasira mbali na muda mrefu walioishikama mke na mume kamtimua na kaoa mwanamke mwingine.

Wanawake wakiamua kukufanyia umafia katika ndoa hawashindwi.

Fikiria tu Binamu yangu amelea watoto wanne kama wake kumbe ni wa njemba nyingine huko. 😞
 
..mwanaume ameamua ku-ADOPT "mtoto wa mkewe" bila mbambamba za RITA, inawakera nini?? 😎
Ndiyo hapo sasa.

Wakija kugundua hata Julius Nyerere na John Magufuli hao wanaoitwa baba zao si baba zao wa kibaiolojia watazimia.
 
Back
Top Bottom