"The End Justifies the Means" nawapongeza sana wanawake, wana akili sana!Kwa mfumo wa Maisha ulivyo, Asilimia kubwa ya watu wanaishi ktk Familia ambazo sio zao kama ulivyo msemo wa mtaani " Kwenye familia zenu Kuna watoto watu"
Kiujumla Familia za siku hizi Zina mambo Mengi ya Ajabu, kimya kimya.
Wototo Wengi baba zao, ni utata.
Famikia zao, si zao, wewe inakuhusu nini?Kwa mfumo wa Maisha ulivyo, Asilimia kubwa ya watu wanaishi ktk Familia ambazo sio zao kama ulivyo msemo wa mtaani " Kwenye familia zenu Kuna watoto watu"
Kiujumla Familia za siku hizi Zina mambo Mengi ya Ajabu, kimya kimya.
Wototo Wengi baba zao, ni utata.
..mwanaume ameamua ku-ADOPT "mtoto wa mkewe" bila mbambamba za RITA, inawakera nini?? πFamikia zao, si zao, wewe inakuhusu nini?
Ndiyo hapo sasa...mwanaume ameamua ku-ADOPT "mtoto wa mkewe" bila mbambamba za RITA, inawakera nini?? π