Asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inayopitia Dar es Salaam port, huku asilimia 98% ikipitia Mombasa port, asema mkurugenzi mkuu wa TRC

Wewe jamaa huwa mbishi kila wakati. Haya umepinga kauli ya mkurugenzi wa TRC kwamba 2% ya mizigo ya UG ndio inayopitia Dar port. Sasa utapinga pia waziri wenu wa uchukuzi ambaye pia yeye ameconfirm kwamba 2% ya mizigo ya UG ndio inayopitia Dar port? Msikilize waziri wenu joto na upunguze ubishi. Waziri wenu wa uchukuzi na mkurugenzi wa TRC wote hawawezi kuwa wrong na wewe uwe right.
Cc joto la jiwe
Geza Ulole

 
2% ya mzigo wa in transit Tanzania, yaani katika nchi zote zinazohudumiwa na bandari za Tanzania, Uganda inahudumiwa kwa 2%, hiyo inaweza kuwa hata 20% ya mzigo wa Uganda unaotoka ndarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…