Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

Aina za ukeketaji, kuna wanaoondoa kinembe/kisimi chote, wengine wanabakisha kiwe kidogo na wengine wao hucharanga kinembe. Kila kabila lina mtindo wake wa ukeketaji
 
Wapo wanaume wanaofurahia mwanamke aliyekeketwa wakidai wanaingia free bila kizuizi na wengine wanapendele wanawake wasiokeketwa wakidai wana mzuka mkali kunako majamboz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…