Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

 
Jaribu kuficha ujinga wako mkuu, karne ya 21 unasuport ukeketaji?
 
Kwa hali hii ukute ndio maana Aziz Mafunguo kanogewa kwa Mobeto kaamua achukue jumla jumla kanogewa na yowee la Mobeto kwao mayowe ni ya kuyatafuta.
 
Binafsi sioni shida kukeketa ...ni kama kutahiri kwa mwanamme TU
Kwanza mwanamke anakuwa ametulia kihisia ..
 
...jamii nyingi za kusini...uongo toa hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…