Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa wizara imemshinda. Binafsi nimekaa nikajiuliza, tofauti na wizara/idara za kukusanya pesa kutoka kwa wananchi, ni idara/wizara zipi zinatoa huduma katika viwango bora?
Aweso asilaumiwe. Wapo wengi. Jana tu mlimtaka Mh. Masauni ajiuzulu. Bora uzima
Aweso asilaumiwe. Wapo wengi. Jana tu mlimtaka Mh. Masauni ajiuzulu. Bora uzima