Sasa kama hauna kipato, unawezaje kufanya kazi isiyo na mshahara? Kitakuwa ni kishawishi cha ubadhilifu tu.Huku mtaani kwetu wamsema wagombea wawe na kazi. Maana yake ni kwamba sisi majobless tumepigwa pin hata katika kuwania nafasi za serikali za kitaa
Uadilifu haujengwi na kipatoSasa kama hauna kipato, unawezaje kufanya kazi isiyo na mshahara? Kitakuwa ni kishawishi cha ubadhilifu tu.
Katika sifa za wagombea wa serikali za mitaa, wameongeza sifa moja mpya, eti asiwe mlevi kupindukia, nini kimewafanya CCM kuongeza sifa hii?
Huko vijijini, statehe ya watazania ni pombe, kuna viongozi walikuwa wakija kwenye vikao au mkutanoni wamelewa chakari mpaka mkutano unageuka kituko
kwamba wataenda kulewa wakiwa wameshalewa kwaiyo wasiende kulewa wakiwa wameshalewa sanaNaskia kuna ulevi wa madaraka pia.. π€¨