Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Inaniwia vigumu sana kuona watu wenye akili ya kawaida kupinga uwepo wa shetani
Ni kama vile unaamini umeme upo, unaamini kitu kinachoitwa data (MB), ila je je ushawahi kuziona mb zenyewe rangi yake? Jibu hapana lakini watu tunaamini zipo.
Sasa mnashindwaje kuamini shetani yupo? MB na umeme tunaamini vipo kutokana na matokeo yake, vivyo hivyo hata shetani yupo kutokana na matokeo yake. Iangalie CCM wako nje kabisa ya misingi ya utu, ubinadamu na ASILI ya wema. Ni kundi kubwa la watu wenye Roho mbaya sana hakuna uchafu na ushenzi katika Dunia hii CCM Haina, of course yes wapo baadhi ni wazuri lakini kwa kuwa wao wapo huko ni waoga na kushindwa kukemea ushetani uliomo nao wao pia wanakuwa mahayawani tu.
Hakuna mtoto anayezaliwa na ubaya watoto wote wanazaliwa na usafi, siku ya kwanza hulia kuashiria uhai lakini baada ya hapo katika makuzi yao hucheka zaidi kuliko kulia. Ila Sasa baada ya kusogea Rika mtoto HUANZA kuwa mbaya na mwenye roho mbaya. Je hii roho huitoa wapi? Huitoa kwa watu ambao mfanano wao ni hawa viongozi wa CCM,
CCM ni mashetani hakika, ni Wananuka dhambi, Wananuka damu, dhulma mauaji
Ooh nimesahau CCM na polisi ni mfano wa shetani, katu mwenye utu wa kawaida huwezi furahia roho ya binadamu mwenzio iwe rehani katu, ni kweli sisi watanzania ni waoga ila hata CCM ni waoga tu na siku isiyo na jina Kuna watu wataomba wafunikwe na milima.