kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ni kweli kuapa kunamtakasa mtu? Je, wateule wanaotumbuliwa hawakuapa kufanyakazi Kwa bidii na uaminifu? Je, mtu akiapa ni lazima aseme ukweli? Je, marais madikteta duniani waliapa kuwa madikteta?
Je, mtu asiyekuwa raia wa Tanzania kama akiapa Kwa dhati kuwa ataiongoza Tanzania Kwa uwaminifu kabisa anaweza kuaminiwa kuwa mgombea wa nafasi hiyo?
Wakurugenzi wakiapa wataendesha na kusimamia Uchaguzi Kwa haki?