Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Tajiri Said Lugumi amewekeza Mabillion ya fedha kusaidia watoto yatima, asiyeunga mkono juhudi zake hana tofauti na muuwaji wa watoto yatima
Tajiti huyu amewezeka fedha nyingi kujenga vituo vya kulelea watoto yatima lakini haishii hapo tu anaenda mbali kwa kuhakikisha watoto hao wanapata elimu bora
Ni muda mwafaka wa matajiri wa Tanzania kuiga mfano kutoka kwa Lugumi kwani kadiri tunavyosaidia watu wasiojiweza ndivyo tunavyozidi kuongezewa
Rai yangu kwa Serikali iendelee kumuunga mkono kwa namna tofauti ikiwemo kumpa wepesi pale anapokuwa akihitaji vibali vya kutimiza malengo yake lakini vilevile iendelee kumpa ulinzi mkubwa kwasababu ana faida kubwa sana ndani ya Taifa la Tanzania
Tazama Video hii