Hapa kwanza lazima utambue kua offer ni hiyo machine kwa hiyo alicho takiwa kufanya matata ni kufanya acceptance of offer na acceptance ya hii offer ni kuingiza kiasi hiko cha pesa. Sababu hakukuwa na acceptance hadi offeror ana revoke offer kwa hiyo hapo hakuna contract.
Pia una takiwa ufahamu kuwa offeror may revoke an offer muda wowote kabla ya offer kukubaliwa na ndicho alicho fanya Danda!(he revoke the offer).
Pia matata hakutakiwa kuandika barua maana hiyo haikuwa tander ilikuwa offer kwa hiyo yeye ali takiwa kuingiza pesa sio kuandika barua! Na ange ingiza pesa wala Danda asingeweza kurevoke offer!
Pia nenda kapitie kuhusu termination offer utakutana na vitu kama
*death of offeror or offeree
*lapse of time(muda,kikomo)
*Revocation
hayo yana sababisha termination of offer!
Kifupi hapo hakuna contract