Speaker analazimika kuingia kwenye usanii baada ya kugundua kwamba kundi lenye mlengo wa kifisadi chamani linamwinda hata limelazimika kukodi mamluki wasio wanaccm kuongeza nguvu. Hivyo kila neno analonena linapelekwa barazani kufanyiwa mkakati wa kulipotosha.