Ask women

nadiegirlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
479
Reaction score
671
Wanaume kama kuna swali linakutatiza kuhusu wanawake na tabia zao,maumbile au kitu chochote kinachowahusu wanawake ni muda wako wa kuuliza hapa na wanawake watanisaidia kujibu maswali yatakayoulizwa yaliyo ndani ya uwezo wao.Karibuni uwanja ni wenu
 
kwanini ni rahisi kula marafiki wa mwanamke niliye naye kwenye mahusiano
 
Kwanini wanawake hampendani na mnanafkiana sana?
Wanawake tunapendana sana sema ndio hivyo tuna upendo na yule mtu ambaye unaona kabisa ana upendo na wewe ule upendo wa dhati kutoka moyoni.Ukiona wanawake wananafikiana ujue tu wanavumiliana kwa sababu ya mazingira fulani yanayowafanya wawe pamoja mfajo labda viccoba au ni wapangaji au wana huyo mtu mmoja ambae ni rafiki yao wote.Si unajua kunafikiana kunaanza na sababu maalumu?
 
kwanini ni rahisi kula marafiki wa mwanamke niliye naye kwenye mahusiano
Mmmh basi mwangalie sana huyo Mwanamke uliyenaye kwenye mahusiano.Nae kuna uwezekano mkubwa ni rahisi sana kugawa mechi za nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…