Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Afisa wa Polisi katika kambi ya Kipkonyo huko Moi, Kenya Ndabi amwejiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kumpiga mpenzi wake risasi mara tatu
Inadaiwa chanzo cha yote hayo ni ugomvi uliotokea baina ya askari huyo aliyekuwa amelewa na mwanamke(mpenziwe) ambaye anafanya kazi ya Uwakala wa M-pesa
Kwa mujibu wa shahidi, Samuel Kiragu, Polisi huyo alimpiga risasi mwanamke huyo mara tisa na risasi tatu ndizo zilizompata na baada ya kufikiri kwamba amemuua alirudi kambini naye akajipigia risasi na kufa papo hapo
Naibu Kamishna wa Wilaya, John Opondo amethibitisha tukio hilo na kuongeza kuwa mwanamke huyo yupo hospitali ndogo ya Naivasha na ana hali mbaya
===============
The officer attached to Kipkonyo chief’s camp in Moi Ndabi killed himself after shooting his girlfriend three times.
Trouble started after the officer who was allegedly drunk confronted the girlfriend who operates a Mpesa shop and the two had an argument.
According to an eye witness Samuel Kiragu, the officer shot at the woman nineteen times with three of the bullets hitting her on the hips before he fled.
“Thinking he had killed her, the officer retreated to the camp where he shot himself on the head dying on the spot,” he said.
Naivasha Deputy County Commissioner John Opondo confirmed the incident adding that the woman had been admitted in Naivasha sub-county hospital in serious condition.
“The AP officer after shooting the girlfriend went back to the camp and shot himself dead and an inquest file has been opened,” he said.
Standard times