hahaha 😂Asipumzike.
RIP POTIIIView attachment 3665208
Habari ndugu, jamaa na rafiki na kwa wote kwa ujumla tunasikitika kuwatangazia taarifa ya msiba wa ndugu yetu mpendwa wetu GODFREY MAHUNDI amefariki akiwa Songea usiku wa kuamkia tarehe 5 September.. Mazishi yatafanyika 8 September siku ya jumanne .. Mungu ametoa na ametwaa jina lake lihimidiwe .. Umevipiga vita vilivyo imani umeilinda
🫡Asipumzike.
Mimi nalia na 'hipo' huyu mnyama anatusumbua sana nyumbani kwetu. Natamani wamuondoe tuHii siku ya leo mbona iko busy sana!
🔥Mwacha ateswe tu motoni
Faili la Okt29 liko mezani pa Muumba na anapitia kila karatasi!On target zinaenda vizuri sana
Leo wanapaisha tu mipiraHabari ndugu, jamaa, rafiki na wote kwa ujumla.
Tunasikitika kuwatangazia taarifa ya msiba wa ndugu yetu mpendwa, GODFREY MAHUNDI, aliyefariki dunia akiwa Songea usiku wa kuamkia tarehe 5 Septemba.
Mazishi yatafanyika tarehe 8 Septemba, siku ya Jumanne.
Mungu ametoa na Mungu ametwaa; jina lake lihimidiwe.
Umevipiga vita vilivyo, imani umeilinda.