Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mimi najiuliza hivi hawa askari wa vyeo vya chini wanaodaiwa kupokea amri au maagizo kutoka kwa wakubwa wao wa kazi na wao kutekekeza mfano,kuua au kujeruhi kwa risasi,kuua kwa kutumia bomu la machozi n.k huwa wanakuwa na ushahidi wowote wa maandishi au wa aina yoyote utakao kuja kuwasaidia siku wakishitakiwa?Hawaoni kuwa hawa mabosi wao wanaweza kuja kuwageuka kwa kuzikana amri wanazotoa?
Msingi wa maswali yangu ni kuwa ipo siku CCM itatoka madarakani na kuna uwezekano mkubwa wa askari polisi hwa kuja kushitakiwa wao pamoja na wakuu wao wa kazi.
Polisi napenda kuwakumbusha kuwa myakumbuke sana maneno ya mh.Sugu aliewahi kuyatoa bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani siku za nyuma ambapo aliwaonyo polisi kuwa makini kwani siku zote ndio huwa wakikabiliwa na kesi za mauaji hata katika mahakama za kimataifa.Aliwaonya kuwa makini na kutumika na wanasiasa
Hata hivyo,kama sheria na kanuni za jeshi la polisi zinaruhusu kutekeleza hata amri zinazovunja katiba ya nchi bila hata kuhoji uhalali wa amri husika,basi nikiri tu kuwa hamna kazi ya hovyo na hatari kama ya polisi!
Polisi kuweni makini CCM haiatatawala milele!