Askari Mstaafu: Sijalipwa stahiki zangu, Polisi wamenipa Siku 7 nikabidhi nyumba la sivyo vitu vyangu vitatolewa nje

Uwa wanashiriki wizi wa kura hawa atolewe kwa virungu vya ugoko
 
Unastaafu halafu huna nyumba ya kukaa? Yaani hujengi huku mabibi, Mapombe ndio kipaumbele chao
 
Miongoni mwa kitu watu wanachokosea ni kumpa lawama huyo mzee kwamba miaka yote alikuwa wapi asijenge au asiweke kitega uchumi. Yeye anachotaka ni Hali yake aondoke, hayo mengine sio wajibu wetu au wa serikali. Mpe Hali yake aondoke atajua atakapoenda. Yaan kudai Haki inajeuzwa kusimangwa
 
Sijawahi kuwaonea huruma na wala sitakuja kuwaonea huruma hao watu
 
Ni kweli serikali no wazembe lakini wewe ni mzembe zaidi!

Hi I inakuaje Hadi unastaafu huna pa kwenda!?

Yaani vijana watumishi wadogo kabisa Wana nyumba zao wakiwa na Miaka 10 kazini wewe inakuaje mkuu!!?

Kuna tatizo binafsi mahali!!
 
Unaweza dai haki yako ukiwa kwako kwani aking'ang'ania hapo ndio haki itawahishwa!!?

Aondoke halafu aendelee kudai haki zake!!
 
Huyu ndio miongoni Mwa machawa wa mama yake Lucas Mwashambwa wacha akumbwe tu na balaa na laana za kila aina
 
Kuna jambo kubwa la kujifunza Kwa watumishi wa umma , mwajiri yeyote humuthamini mtumishi wake pindi ambapo Bado ananguvu za kuzalisha, muda ukiisha thamani Yake inapotea, hivyo watumishi wa umma wajifunze wasisubiri wastaafu ndo wajenge au waanzishe biashara au ndo waanze kulima au kufuga ni hatari kubwa sana Kwa Dunia ya Sasa. Ukiwa kwenye boksi mawazo Yako yasiishie ndani ya boksi maana kuna Maisha baada ya kustaafu. Pole sana Mzee wangu, vijana tunalakujifunza kwako.
 
Hawa si ndio wakivaaga gwanda wanateka ,wanapiga na kuua raia kwa maslahi ya wana siasa wa CCM ,Sina huruma na kundi hili la watu hata kidogo
 
hili rungu la ccm kumbe linamkuta kila mtu hadi wale iliyowatumia sana. Mungu amsaidie, manake hapo hata kujenga hajajenga, hajui aende kilimanjaro au aende wapi. Polisi polisi, jifunzeni, hapo atasaidiwa na wananchi, na mwisho kama hatakimbilia kwa Mungu atakuwa tapeli, polisi wengi sana wakistaafu huwa wanakuwa matapeli na madalali.
 
Wakina Mbowe wakiandamana kwa ajili ya hizi mambo mnakuja kuwapiga mabomu.

Hii kazi hii.
 
Siwapendi polisi lolote baya limkute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…