Askari...."Njooni Tuzungumze"!

Askari...."Njooni Tuzungumze"!

S.M.P2503

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
2,421
Reaction score
4,344
Huyu Askari aliyeyasema maneno haya ni wa busara sana. Mama Samia, Rais wetu- Muangalie huyu askari wako kwa jicho la husda kwa jinsi alivyotatua mgogoro huo. Nguvu na mabavu siku zote sio suluhisho.

Zungumzeni kwa stairi ya askari huo kama kweli zile R4 ni za ukweli... watu wana maumivu sana, majonzi sana, wanalia sana, na wewe mheshimiwa Raisi ndiye comforter in chief.

Hebu wasikilize hapa :
View: https://youtube.com/clip/UgkxxGdUi7TUhm8A0zo5DaOIF8OautKBMZyt?si=6pDcdIC6AiDGctZQ
 
Naona Askari anaitaka mbingu huyu
Ataipata, mamlaka zimuangalie kwa jicho la pekee maana pale ni highway. Vipi kama Gari ingekuwa inakuja toka huko lilipotokea full gear na break ikashindikana? Ndio maana nikasema ni busara sana kubwa aliyoifanya kuwaondoa watu walio tayari kukabiliana na kifo kwa namna yeyote ile. Maua yake kwa busara zake kwa kweli na maua yake Lissu pia kukubali waongee pembeni...
 
Tulitakiwa tuwe hivi na kule kanisani ila sasa duuuh
 
Mungu ni mwema
Kwa kweli, mpaka akasema njoo huku tuongee wakili msomi, na Tundu akaamuka bila hiyana wala ajizi. Maua yake kwa kweli. Virungu na mabomu haviwezi kazi, vinaongeza tu maumivi, chuki na hasira. vimepiwa na wakati.. busara hii ndiyo inayotakiwa kwa kweli.. njooni tuongee na hakuna kitacho halibika
 
Huyu Askari aliyeyasema maneno haya ni wa busara sana. Mama Samia, Rais wetu- Muangalie huyu askari wako kwa jicho la husda kwa jinsi alivyotatua mgogoro huo. Nguvu na mabavu siku zote sio suluhisho.

Zungumzeni kwa stairi ya askari huo kama kweli zile R4 ni za ukweli... watu wana maumivu sana, majonzi sana, wanalia sana, na wewe mheshimiwa Raisi ndiye comforter in chief.

Hebu wasikilize hapa :
View: https://youtube.com/clip/UgkxxGdUi7TUhm8A0zo5DaOIF8OautKBMZyt?si=6pDcdIC6AiDGctZQ

Kweli huyu askari ana akili kidogo
 
Back
Top Bottom