Askari police na maamuzi ya mahakama

Askari police na maamuzi ya mahakama

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Nimejaribu kufanya tathmin ndogo ila nimegua kesi nyingi hatari zinaishia vituo vya police kama vl ubakaji, ujangili, n.k
Kwan polisi wamekuwa mahakimu wa kesi nying!!!

Swal kuna haja ya kuwa na mahakama za mwanzo wakati polisi wanahukumu kwenye vituó????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimejaribu kufanya tathmin
ndogo ila nimegua kesi nyingi hatari zinaishia vituo vya police kama vl
ubakaji, ujangili, n.k
Kwan polisi wamekuwa mahakimu wa kesi nying!!!

Swal kuna haja ya kuwa na mahakama za mwanzo wakati polisi wanahukumu
kwenye vituó????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wewe andika habari kwa utulivu,na ueleze tatizo lako kama GT sio kama unafukuzwa na simba porini! sasa ndio umeandika nini? Hueleweki.
 
Ki ufupi suala la askari polisi kufanya maamuzi ya kesi katika vituo bila kuwafikisha watuhumiwa mahakaman ndo kero yangu!!!

Hivi suala la ubakaji askari polisi anatoaje maamuzi bila mtuhumiwa kufikishwa mahakaman???

Siyo hilo tu bali kesi nying ngumu zinaishia vituo vidogo vya polisi na wala si mahakaman!!!

Swal sasa kuna haja gan ya kuwa na mahakama za mwanzo kama askari polisi wanatoa hukumu???

Nahisi nimeeleweka!!!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanatoa hukumu za namna gani? kufungwa jela au faini? tueleze hapa
 
kweli wewe ni cargo (mzigo) umeshafungiwa kwenye container?
 
Hvi unapoamua kuipinga hii thread bila tafiti si ni bora ungeisoma tu nakuacha kucomment????!!!!!



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na hizo zinazofika mahakamani zimetokea wapi,.!? Si umesema wanamaliza? Fanya utafiti wa kutosha kabla ya kufunguka,..
 
Niliposema mahakama kufutwa sikumaanisha ngaz zote ila najiuliza kwa nn vituo vya polisi vinafanya maamuz ya mahakama za mwanzo????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom