newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
Nimesikia Askari Police Wawili Walichinjwa Kama kuku Arusha!! hivi Tanzania tumefikia hapa?
serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa vyombo vya habari?
Waliopo Arusha jambo hili lilitokea?:shut-mouth:
imebakia tetesi tu tangu tarehe 5-1-2011, kuna wanachama mmoja wa JF yeye alitoa taarifa akidai alizipata kutoka ndani ya polisi kuwa kuna polisi moja aliuwa na wengine wawili walikuwa mahututi moja akiwa yule alie jipiga bomu kwenye paja kwa bahati mbaya lakini taarifa za polisi kwenye vyombo vya habari ni kwamba kuna polisi watatu waliumia na bado wamelazwa....iko siku tutaujua ukweli.....Nimesikia Askari Police Wawili Walichinjwa Kama kuku Arusha!! hivi Tanzania tumefikia hapa?
serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa vyombo vya habari?
Waliopo Arusha jambo hili lilitokea?:shut-mouth:
inavyodaiwa alieuwawa ni wale wanafunzi wa CCP kwa mjibu wa Mzee wa rule ambae ni mwanachama wa JF, ambao wanaweza kukaa na mwili kwa mda mrefu kadi wana vyotaka bila familia ya mhusika kujua...mhhh unaweza kuficha vifo vya binadamu kweli? hata vyombo vikizibwa na ndugu nao wasiongee? sidhani mkuu
Mimi sidhani kama ni kweli! Kama ingelikuwa ni kweli Askari wameuwawa, si ndio wangepata sababu tosha na ushaihidi dhidi ya Chadema???!!!!
Wakikubali kuwa walikufa wataonekana hawajui kazi...hivyo maiati zitahifadhiwa mapaka tusahau issue
In that case,Jeshi la police lingetoa japo briefing on the status ya hao Askari walio chomwa Bisisi na aliyelipukiwa na Bomu.Website yao ipo kimya na magezeti yapo kimyainfo niliyopata kutoka a.town
ni;
askari mmoja alichomwa bisibisi,mwingine alilipukiwa na bomu kwenye paja ,ila nadhani wanauguzwa huko mikoani walipotoka i.e tanga ,manyara,moshi n.k
nimesikia askari police wawili walichinjwa kama kuku arusha!! Hivi tanzania tumefikia hapa?
Serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa vyombo vya habari?
Waliopo arusha jambo hili lilitokea?:shut-mouth: