Askari polisi atachukua hatua gani kisheria kwa raia anaegoma kwa makusudi kutii amri

Askari polisi atachukua hatua gani kisheria kwa raia anaegoma kwa makusudi kutii amri

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,642
Habari wanajamii., naomba kujua nini kitatokea kwa raia anaegomea amri ya askari polisi. Kwa mfano anatuhumiwa kwa kosa fulani na askari akamweka chini ya ulinzi lakini kwa makusudi raia huyu anagoma kuwa chini ya ulinzi wa askari. Je ni hatua zipi askari atachukua dhidi yake. Natanguliza shukrani zangu.
 
hakuna hatua za kisheria hapo ni mabao ya mgongo na mateke ya ------ yatumike kumfikisha mtuhumiwa kituoni
 
Inaitwa reasonable force, lakini kumbuka resonable force ni subjective kila mtu anayake lakini tu isipitilize sanaaaa. Utakula kichapo kukulegeza ukubali kwenda, sio kukuua. Utauwawa pale unapotishia maisha ya anaye kukamata as in self defence.
 
Back
Top Bottom