Habari wanajamii., naomba kujua nini kitatokea kwa raia anaegomea amri ya askari polisi. Kwa mfano anatuhumiwa kwa kosa fulani na askari akamweka chini ya ulinzi lakini kwa makusudi raia huyu anagoma kuwa chini ya ulinzi wa askari. Je ni hatua zipi askari atachukua dhidi yake. Natanguliza shukrani zangu.
Inaitwa reasonable force, lakini kumbuka resonable force ni subjective kila mtu anayake lakini tu isipitilize sanaaaa. Utakula kichapo kukulegeza ukubali kwenda, sio kukuua. Utauwawa pale unapotishia maisha ya anaye kukamata as in self defence.