Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za mchana waungwana.
Nimepata tetesi kwamba askari Polisi kituo cha Mwanakwerekwe amekamatwa na kete za unga zisizopungua 200 huko hoteli ya Kiwengwa, na mpaka sasa askari huyo amesharejeshwa uraiani kuja kujumuika na sisi (hana kazi).
Mwenye kujua zaidi atujuze nasisi tupate habari vizuri.

Sio tetesi ni habari za kweli na hiyo ilikuwa ni jana na kwasasa si askari tena bali ni mtuhumiwa wa madawa ya kulevya aliyekamatwa na vidhibiti kamili wakati akienda kusambaza mzigo.
Asili yake ni Tanganyika au Tanzania bara jinsia yake ni mwanaume umri haujatajwa