Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Sio tetesi ni habari za kweli na hiyo ilikuwa ni jana na kwasasa si askari tena bali ni mtuhumiwa wa madawa ya kulevya aliyekamatwa na vidhibiti kamili wakati akienda kusambaza mzigo.
Asili yake ni Tanganyika au Tanzania bara jinsia yake ni mwanaume umri haujatajwa
Sio tetesi ni habari za kweli na hiyo ilikuwa ni jana na kwasasa si askari tena bali ni mtuhhumiwa wa madawa ya kulevya aliyekamatwa na vidhibiti kamili wakati akienda kusambaza mzigo...asili yake ni Tanganyika au Tanzania bara jinsia yake ni mwanaume umri haujatajwaHabari za mchana waungwana.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimepata tetesi kwamba askari polisi kituo cha Mwanakwerekwe amekamatwa na kete za unga zisizopungua 200 huko hoteli ya Kiwengwa, na mpaka sasa askari huyo amesharejeshwa uraiani kuja kujumuika na sisi (hana kazi).
Mwenye kujua zaidi atujuze nasisi tupate habari vizuri.
Mh!
Arudishwe kimyakimya
Kulikoni?