Bahati mbaya au makusudi!?Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo.
Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana, wadau wameomba mamlaka husika msaada juu ya wahusika na kwa majeruhi ambae hajahudumiwa mpaka usiku huu.
Wamedai wanao ushahidi wa ajali husika kama video.
Bodaboda wengi ni mataahira, na asilimia kubwa ya ajali wanazozipata wanajitakia.Kumbe boda boda
Bila shaka mwenye makosa ni huyo boda.Waweke hiyo video,, tuwaone hao kenge
Nkiskia boda boda kapata ajali naona taarifa ya kawaida sana itoshe kusema hyo ni kazi ya laanaBodaboda wengi ni mataahira, na asilimia kubwa ya ajali wanazozipata wanajitakia.
Sambazeni hio video.Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo.
Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana, wadau wameomba mamlaka husika msaada juu ya wahusika na kwa majeruhi ambae hajahudumiwa mpaka usiku huu.
Wamedai wanao ushahidi wa ajali husika kama video.
Duh..Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo.
Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana, wadau wameomba mamlaka husika msaada juu ya wahusika na kwa majeruhi ambae hajahudumiwa mpaka usiku huu.
Wamedai wanao ushahidi wa ajali husika kama video.
Leo bod kesho wewe watakugonga na lile Lori lao halafu wakutelekeze hospital wakisem ulikuwa unaendesha huku umelewa virobaBila shaka mwenye makosa ni huyo boda.
Akili zao wanazijua wenyewe.
Hatuwezi hukumu, makosa anaweza kuwa bodaboda au waoBila shaka mwenye makosa ni huyo boda.
Akili zao wanazijua wenyewe.