Askari Polisi waua majambazi wanne Dodoma

Imeisha hyo mapanga vs bunduki
Proportionality matches! They are both lethal weapons, use of force justified.
Pengine wangefanikiwa kuwajeruhi askari au kuwaua basi wangetoroka na bunduki na yangetokea makubwa zaidi, mkaoze jehanam majambazi
 
Wezi wa kalamu hawauwawi

Ila wezi wanaotumia maguvu kuvunja,yanawakutaga

Ova
 
Safi sana, bado tu kuanza kuua mawaziri na baadhi ya viongozi wengine wa umma pamoja na watoto wa viongozi wanaolitia taifa letu hasara kama vile Ridhiwani Kikwete. Hakika tunahitaji katiba Mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…