Askari wa Israel mahakamani Morocco kwa makosa ya kivita Gaza

Kwahiyo na Hamas akienda Moroco nae atashtakiwa kwa Mauaji ya October 07?!
Sheria ya Morocco hata ukitokea Palestine na ulifanya ugaidi huko ukiingia ardhi yao unawajibishwa, wao wameangalia mujibu wa sheria yao.

Hapo IDF officer kajichanganya. Wakati mwingine ni vyema kusoma kwanza sheria za nchi fulani kabla ya kuzuru.
 
Israel nako hivyohivyo sema huoneshwi tu
Nimeona Base moja imechomwa lakini kumbuka wana Bunkers na Rada kwahiyo raia wengi wanakuwa na taarifa kuwa Magaidi ya Hezbola yamerusha roketi kadhaa halafu raia wanaingia kwenye Bunkers.
 
Kuna haja ya mhakama hope kweli si wangemkata kiungo kimoja kimoja tu
 
Kwamba mahakama ya Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ ndio inaamua kesi na kutoa hukumu? Ngoja tuone
 
Walikulilia wewe?Umeshiba panzi/balangulu wa Suruti.
Israel akashitaki nini ilhali yeye ndio huwa anaanza ukorofi!??
Ndio huwa analilia USA na UN.
Kwani Iran ilivyoanza urutubishaji nuclear si alikimbia mbio mbio Nuclear watchdog na kulalamika ni hatari kwa Israel!?
Mishipa imemtoka anaropokwa eti Iran kurutubisha nuke ni hatari kwa wazayuni.
 
Morocco sio Gaza.
Morocco hao achana nao,waliomtawala wanajua kasheshe yake.
Usimchukulie kila mwarabu mdhaifu huyo mwarabu Mfaransa we shauri yako.
Endelea kujifariji yaani. Nao mapema tu watapata hiki wanachokifind. Mwana kulifind ata liget mapema tu
 
Hivi unajua kama huwa unayoyaandika unajionesha ulivyo kibweka?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…