Askari wa Israel mahakamani Morocco kwa makosa ya kivita Gaza

Nakusisitiza Morocco sio Gaza.
😁😁😁😁 mbona unavimba. Mlisema hezibola sio hamas kiko wapi. Vita ya siku 6 morocco hakuepo. .? Hakuna kenge hapo middle east au waarabu wakumzingua israel yeyote atachapika tena morroco ndio atapigwa mchana kweupe yaan
 
Huwa huna hoja.Ni uongouongo na porojo debe zima.
Lete uthibitisho hapa kama nimeongea uongo.
Kwani Israel haikulalamika kuhusu uchakataji wa nuclear Iran!??
Thibitisha kama uongo.
Kwani mzozo wa Gaza aliyeanza sio Israel kwa kuvamia Khani Younis August 23!?
We jamaa kuna time kama unakua umelewa.
 
😁😁😁😁 mbona unavimba. Mlisema hezibola sio hamas kiko wapi. Vita ya siku 6 morocco hakuepo. .? Hakuna kenge hapo middle east au waarabu wakumzingua israel yeyote atachapika
Je hizbollah amemshindwa Israel!??
Mbona bado Hizbollah inarusha makombora Israel!?
Galilaya kuna raia anaishi sasa hivi!??
Morocco hakukuwepo six days war acha uongo.
Pia six days war haikuwa na confrontation yeyote zaidi ya operations za anga za jeshi la Israel.
 
Hahah majibu unayo kama viongozi 17 washazikwa na pigo zinaendelea
 
Hahah majibu unayo kama viongozi 17 washazikwa na pigo zinaendelea
Kufa hao viongozi kumezuia Hizbollah kuendelea kupigana!?
Kama kuua viongozi kunasaidia kwanini Hizbollah bado anaendelea kujibu mashambulizi!??
 
Funga huyo. Gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…