JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
RIP kafia kazini kweli loh.
kAbisa wacha yakufe yakazikane 😬Haya majamaa hata yakifa poa nasikia yakikukuta mbugani ni risasi hamna maelezo
hamna askari wanao tembeza rungu na buti kama askari wa tanapaHaya majamaa hata yakifa poa nasikia yakikukuta mbugani ni risasi hamna maelezo
na wewe mbugani unafanya nini?Haya majamaa hata yakifa poa nasikia yakikukuta mbugani ni risasi hamna maelezo
Dah hata wao wanauliwa na wanyama haohaoKamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), William Mwakilema amesema kifo cha Askari huyo wa Uhifadhi Daraja la Tatu, Samwel Edward Nassari kimetokea Agosti Mosi, 2023 eneo la Mbula katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi wakati akitekeleza majukumu yake ya ulinzi
Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi inapatikana katika mikoa ya Kilimanjaro na Tanga ndani ya Wilaya za Same na Lushoto, ilianzishwa kama Pori la Akiba lililomegwa kutoka katika Pori kubwa la Akiba la Ruvu kabla ya kubadilishwa kuwa Hifadhi ya Taifa, ina ukubwa wa Kilomita za Mraba 3,245
Sio Buti mwanangu hao ukijichanganya mbugani ni chuma risasi tu hawana utu acha wafe tuhamna askari wanao tembeza rungu na buti kama askari wa tanapa